Swali 1170: Je, kuwatahiri wanawake ni desturi mbaya? Nimesoma kwenye gazeti fulani ya kwamba kumtahiri mwanamke kwa aina yoyote ile ni desturi mbaya na aidha ni jambo lenye madhara inapokuja katika afya na kwamba wakati mwingine inaweza kupelekea katika utasa. Je, haya ni kweli?

Jibu: Kuwatahiri wanawake katika wasichana wa Aadam ni Sunnah. Sio desturi mbaya. Ni jambo halina madhara akifanya kati na kati. Ama akifanya kwa kupindukia kunaweza kutokea madhara.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 468
  • Imechapishwa: 13/10/2019