Kusoma du´aa zote za kufungulia swalah katika Rak´ah moja

Swali: Je, inajuzu kujumuisha du´aa zaidi ya moja katika swalah moja?

Jibu: Hapana. Hili sio katika Sunnah. Asome du´aa moja. Katika Rak´ah ya pili anaweza kuleta du´aa nyingine katika du´aa zilizothibiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2014