Kusafiri katika miji ya kikafiri kuwatembelea ndugu

Swali: Je, inajuzu kusafiri kwenda katika mji wa kikafiri kwa ajili ya kuwatembelea familia yangu?

Jibu: Ikiwa ni dharurah na wao wanakuhitajia, safiri kwa kiasi cha dharurah kisha urudi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-06-05.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014