Kupata vitabu vya Ahl-ul-Bid´ah


Swali: Nawajibika kufanya nini endapo nitapata vitabu vya Ahl-ul-Bid´ah?

Jibu: Wajibu kwako ni kuvipeleka mahakamani. Vipeleke mahakamani. Wao ndio wana jukumu ya kuvichana au kuvitenga mbali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017