Swali: Inajuzu kupangusa juu ya soksi zilizovaliwa bila ya haja?

Jibu: Hakuna neno. Akizivaa anapata kupangusa juu yake na kuzivua. Ana khiyari. Muda wa kuwa amezivaa anapata kufuta juu yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Marejeo: Firqatunnajia.com
  • Imechapishwa: 15/10/2016