Kuomba mvua katika du´aa ya Qunuut Ramadhaan

Swali: Ni ipi hukumu ya kuomba mvua katika Du´aa ya Qunuut Ramadhaan?

Jibu: Hili halikuthibiti. Hili ni jambo ambalo limezushwa leo na halikuthibiti. Haikuthibiti ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiomba mvua katika Qunuut kwenye Swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-08.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014