Kuoga kwa ajili ya ijumaa usiku wa alkhamisi

Swali: Ni ipi hukumu ya josho la ijumaa? Inasihi kwa mtu kuoga usiku wa ijumaa?

Jibu: Hapana. Ni lazima kwa mtu kuoga kuanzia pale alfajiri inapoingia.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 04/01/2019