Kuna du´aa ya kusikia Iqaamah?


Swali: Ni Dhikr ipi anayotakiwa kusemwa kwa mwenye kusikia Iqaamah?

Jibu: Hakukuthibiti kitu juu ya hili. Hakukuthibiti kuwa kuna du´aa maalum inayosemwa wakati wa kusikia Iqaamah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-03-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014