Kumuombea du´aa kafiri aliyedhulumiwa


Swali: Je, inajuzu kumuombea du´aa nusra ikiwa kafiri huyu amedhulumiwa?

Jibu: Hapana. Muombee uongofu. Ama kuhusu kumuombea nusra, hapana. Kwa kuwa huku ina maana ya kukubaliana naye kwa yale aliyomo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13495
  • Imechapishwa: 16/11/2014