Kumteua mjomba amuozeshe mwanamke


Swali: Inajuzu kwa walii/msimamizi wa mwanamke akamteua mjomba wake ili amuozeshe?

Jibu: Inajuzu kwa msimamizi kumteua mwengine, mjomba wake au mwengine. Inajuzu kwake kumteua walii awezaye kumuozesha mwanamke huyo. Ni mamoja awe mjomba wake au mwengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017