Swali: Watu wengi wanakusanyika katika usiku wa ijumaa na baada ya swalah ya ´Ishaa kwa muda wa saa moja au saa mbili ndani ya msikiti au kwenye nyumba moja wapo na wanamswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa sauti ya juu na ya pamoja. Ni ipi hukumu ya kitendo hicho?

Jibu: Hii ni Bid´ah. Haijuzu swalah za pamoja na kupandisha sauti. Kila mmoja amswalie Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kivyake baina yake yeye na nafsi yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/41/%D8%A7%D9%84%D8%B5%D9%84%D8%A7%D8%A9-%D8%B9%D9%84%D9%89-%D8%A7%D9%84%D9%86%D8%A8%D9%8A-%D8%B5%D9%84%D9%89-%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87-%D8%B9%D9%84%D9%8A%D9%87-%D9%88%D8%B3%D9%84%D9%85-%D8%A8%D8%B7%D8%B1%D9%8A%D9%82%D8%A9-%D8%AC%D9%85%D8%A7%D8%B9%D9%8A%D8%A9
  • Imechapishwa: 28/12/2019