Kumswalia mgonjwa wa kiakili aliyejiua

Swali: Je, anaswaliwa swalah ya jeneza mtu ambaye amejiua kwa sababu ya kuwa na maradhi ya kiakili?

Jibu: Mtawala hatakiwi kumswalia. Wengine wote watamswalia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 01/11/2020