Kumswalia maiti kabla ya kuoshwa na kuvishwa sanda

Swali: Kuna muislamu aliyefariki. Mwili wake utatumwa katika nchi yake ambapo ataoshwa na kuvishwa sanda na huko ndiko ataswaliwa swalah ya jeneza. Je, nimswalie swalah ya jeneza ndani ya ndege kabla hajaoshwa?

Jibu: Hapana. Si sahihi kumswalia maiti mpaka kwanza aoshwe na kuvishwa sanda. Si sahihi kumswalia mpaka kwanza aoshwe na kuvishwa sanda.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/03/2017