Swali: Ikiwa mtu ana deni la siku moja la Ramadhaan inajuzu kwake kuilipa siku ya ijumaa? Ana nini aliyefanya hivo? Arudi kuifunga?

Jibu: Inajuzu kwa muislamu kufunga siku ya ijumaa hali ya kulipa siku moja wapo ya Ramadhaan hata kama ataifunga ijumaa peke yake.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/347)
  • Imechapishwa: 21/06/2017