Swali: Mtu akisahau Adhkaar za asubuhi mpaka wakati wa Dhuhr azisome au wakati wake umeshapita?
Jibu: Hapana, haujapita. Azilete na himdi zote ni za Allaah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-10.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014