Kuleta Adhkaar za asubuhi wakati wa Dhuhr kwa kusahau


Swali: Mtu akisahau Adhkaar za asubuhi mpaka wakati wa Dhuhr azisome au wakati wake umeshapita?

Jibu: Hapana, haujapita. Azilete na himdi zote ni za Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-10.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014