Kulala mchana kabla au baada ya Dhuhr?

Swali: Ni upi wakati wa usingizi wa mchana; ni kabla ya swalah ya Dhuhr au baada ya swalah ya Dhuhr?

Jibu: Ni baada ya swalah ya Dhuhr na kabla yake. Yote mawili yanafaa. Inafaa kulala mchana kabla ya swalah ya Dhuhr au baada yake. Hakuna ubaya. Jambo ni lenye wasaa ndani yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 22/09/2018