Kukosoa fatwa za Ibn Baaz na Ibn ´Uthaymiyn


Swali: Baadhi ya walinganizi na watu kwenye vyombo vya mawasiliano wanamkosoa Ibn Baaz na Ibn ´Uthaymiyn na fatwa zao. Muislamu achukue msimamo gani juu ya hilo?

Jibu: Wanasihi. Wabainishie kuwa kitendo hicho ni haramu iliokubwa. Hapana shaka kwamba haijuzu kumponda muislamu hata ambaye ni wa kawaida tu. Kumponda mwanachuoni ni aula zaidi kutokufaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 27/07/2019