Kujitwaharisha na maji najisi au Tayammum?

Swali: Ikiwa kuna maji ya najisi peke yake na wakati wa swalah umeshaingia, nijitwaharishe na maji ya najisi au nifanye Tayammum?

Jibu: Usijitwaharishe na maji ya najisi. Uwepo wake ni kama kutokuwepo kwake. Fanya Tayammum na uswali. Katika hali hii tafuta mchanga.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020