Kujirejea baada ya kutia saini


Swali: Baada ya kusaini makubaliano ya kibiashara na mteja, nikajirejea baada ya kutengana kimwili. Je, ni lazima kutekeleza mkataba huu ambao nimekwishauandika?

Jibu: Hapana. Una haki ya kujirejea muda wa kuwa bado ukingali hapo. Una haki ya kurudisha hata kama umekwishatia saini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
  • Imechapishwa: 04/02/2022