Kuitikia salamu ya kwenye meseji ya simu


Swali: Salamu ambayo imeandikwa kwa njia ya ujumbe wa kwenye gazeti au ujumbe wa kwenye simu.

Jibu: Itikia na wewe kwa kaundika kwa kuwa ukimuitikia hatokusikia. Lakini akikutolea salamu kwa njia ya kuandika na wewe muitikie kwa njia ya kumuandikia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014