Kufunga kwa Mose katika Biblia na akikabidhiwaTorati mlimani kama ilivyo katika Qur-aan

27Mwenyezi Mungu alimwambia Mose: “Andika maneno haya, maana kulingana na maneno haya, ninafanya agano nawe na watu wa Israeli.” 28Mose alikaa huko mlimani pamoja na Mwenyezi Mungu siku arubaini, mchana na usiku; hakula chakula wala kunywa maji. Aliandika maneno yote ya agano na zile amri kumi.

  • Marejeo: Kutoka 34:27
  • Imechapishwa: 31/01/2020