Swali: Ni ipi hukumu ya kupunguza sehemu ya nywele na kuacha zingine?

Jibu: Haijuzu kufanya hivo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Zinyoe zote au ziache zote.”

Haijuzu kuzifanya panki nywele kwa njia ya kunyoa au kupunguza baadhi na kuacha baadhi nyingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 06/02/2017