Kufanya majaribio kwa sungura kwa lengo la anatomiki

Swali: Mwalimu wa bailojia amemtaka msichana wangu kumleta sungura aliye hai kwa madhumuni ya majaribio ya anatomiki. Je, inajuzu?

Jibu: Haijuzu. Haijuzu kuwatesa wanyama. Hata hivyo kungelikuwa hakuna neno kama angelikuwa ameshakufa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
  • Imechapishwa: 26/10/2019