Kufanya ´Aqiyqah ukubwani kwa yule ambaye hakufanyiwa utotoni

Swali: Familia yangu haikunifanyia ´Aqiyqah wakati wa kuzaliwa kwangu. Je, inajuzu kujifanyia hivi sasa?

Jibu: Wanasema baadhi ya wanachuoni ya kwamba hakuna neno.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanda “Ikhlaasw-ud-Diyn lillaah”
  • Imechapishwa: 06/10/2020