Swali: Nina ndugu ambao wamezowea kuchinja mnyama mmoja au wawili katika Ramadhaan kwa njia ya kutoa swadaqah kwa ajili ya Allaah. Je, imewekwa katika Shari´ah?

Jibu: Ndio, ni sawa. Ni njia ya kuwalisha watu chakula na ni jambo lenye uzito zaidi katika Ramadhaan. Ni jambo lenye ujira zaidi katika Ramadhaan kwa kuwa wafungaji wanahitajia chakula. Nyama ni njia moja wapo ya chakula.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–14330720.mp3
  • Imechapishwa: 09/06/2020