Swali: Nilipokuwa njiani nakuja katika darsa nilikutana na kundi kubwa wanacheza mpira wa miguu. Nikaenda kuwakataza ambapo wakaitikia. Lakini nikawa nimechelewa katika Swalah. Je, napata dhambi?
Jibu: Hukukusudia kuchelewa katika Swalah. Hukukusudia hili. Wewe umefanya na unapata ujira – in shaa Allaah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-1-17.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2014