Kimsingi bima zote ni haramu


Swali: Mimi nalipa bima ya kazi. Nikichelewa kulipa ada ya kila mwezi ninalipa kiwango cha ziada kama faini. Ni ipi hukumu ya ziada hii?

Jibu: Bima zote ni haramu. Bima ni haramu sawa za kazi na nyenginezo. Ni haramu sawa ikitokea mtu amelipa kiwango cha ziada au hakufanya hivo. Zote ni haramu. Bima ni haramu. Idara za Fiqh na baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa wamethibitisha kuwa ni haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (15) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_27-07-1433.mp3
  • Imechapishwa: 23/05/2018