Tunatakiwa kutambua kwamba endapo mtu atakusanya Udhhiyah na ´Aqiyqah basi kichinjwa kimoja tu kitamtosheleza baba mwenye nyumba hali ya kuwa amenuia kujifanyia ´Aqiyqah na hivyo akachinja kichinjwa hichi cha Udhhiyah na ´Aqiyqah itakuwa imeingia ndani yake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalus-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (6/159)
  • Imechapishwa: 01/07/2020