Kichinjwa cha asiyeswali ni haramu


Swali: Ni ipi hukumu ya kichinjwa cha asiyeswali?

Jibu: Haifai kula chakula cha asiyeswali. Kwa sababu sio muislamu. Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia ametoka katika Uislamu na hivyo kisiliwe kichinjwa chake mpaka pale atapotubu kwa Allaah (´Azza wa Jall), asimamishe swalah na asimamishe dini yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/02-02.mp3
  • Imechapishwa: 20/11/2017