Kafara ya kutangamana kwa ubaya na mume


Swali: Wakati baba yangu alipokuwa bado yuhai mama yangu alitangamana naye kwa ubaya. Afanye nini ili kukafiria jambo hilo?

Jibu: Amtolee swadaqah. Amuombee du´aa na akithirishe kufanya hivo. Amtolee swadaqah. Huenda Allaah akamsamehe yeye kwa kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Liqaa'-ul-Jumu´ah bit-Twaa'if http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17101
  • Imechapishwa: 24/09/2017