Jitenge naye mbali


Swali: Nataka kumuoa mwanamke ambaye ni Suniyyah na Salafiyyah. Lakini anasema kuwa baba yake anafanya uchawi. Unaninasihi nini? Nitangamane vipi na baba yake endapo nitamuoa?

Jibu: Jitenge naye mbali. Jitenge naye mbali. Allaah atakuruzuku mwengine asiyekuwa yeye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (71) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah26-07-1438h%20-%20Copy.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2017