Isti´aadhah wakati wa kwenda mwayo

Swali: Imepokelewa kumtaka Allaah kinga dhidi ya shaytwaan baada ya kupiga miayo?

Jibu: Sikumbuki kitu. Kilichopokelewa ni mtu kuziba mdomo kwa mkono wake kiasi cha anavoweza[1].

[1] Tazama 1189

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 22/12/2018