Inafaa kupeana hongera kwa ajili ya ´Iyd


Swali: Ni ipi hukumu ya kupeana hongera kwa ajili ya ´Iyd? Je, kuna mtindo maalum?

Jibu: Kupeana hongera kwa ajili ya ´Iyd inafaa. Hakuna hongera maalum. Yale waliyozowea watu yanafaa midhali ndani yake hakuna dhambi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (16/210)
  • Imechapishwa: 14/06/2018