Inafaa kumpa zakaah mgeni?


Swali: Inafaa kwa mtu kumkirimu mgeni wake katika pesa ya zakaah?

Jibu: Hapana. Mgeni ana haki nyingine isiyokuwa zakaah. Zakaah ina watu wake ambao ni mafukara. Mgeni huyu anaweza kuwa sio fakiri. Haki ya ugeni haitoki katika zakaah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 23/03/2018