Inafaa kama kwa ndugu zao


9- Taqiyyah kwa mujibu wa Ibaadhiyyah

Taqiyyah imefungamana na Raafidhwah. Lakini hata kwa Ibaadhiyyah Taqiyyah inajuzu kama ndugu zao Raafidhwah. ar-Rabiy´ bin Habiyb amepokea katika “al-Musnad” yake mapokezi yanayokokoteza juu ya Taqiyyah chini ya kichwa cha khabari:

“Mlango unaozungumzia Taqiyyah.”

Kwa hivyo wana fungu katika kushabihiana na Raafidhwah katika hilo.

  • Mhusika: ´Abdullaah as-Salafiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Ibaadhwiyyah fiy miyzaan Ahl-is-Sunnah, uk. 38
  • Imechapishwa: 15/04/2017