Imamu anasoma الرَّحْمنُ katika al-Faatihah

Swali: Wakati fulani inatokea imamu anayetuswalisha anasoma:

الْحَمْدُ للّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ الرَّحْمنُ الرَّحِيمِ

Anasoma الرَّحْمنُ. Ni ipi hukumu ya kuswali nyuma yake?

Jibu: Huku ni utamkaji wa kimakosa, lakini haubadili maana. Swalah ni sahihi lakini amekosea katika utamkaji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/10/2018