Ibn Baaz kuhusu ujinga ni udhuru X

Swali: Washirikina wengi wanajua kuwa ´ibaadah ni kwa ajili ya Allaah pekee lakini hawajui ni ´ibaadah zipi ambazo ni wajibu kumtakasia nazo Allaah.

Jibu: Ndio, wamegawanyika. Wengi wao hawajui kwa sababu ya ujinga. Wako wengine ambao wanafanya ukaidi, kama tulivyotangulia kusema.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 55
  • Imechapishwa: 22/06/2019