Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuwepo juu kwa Allaah?

Jibu: Hukumu yake ni ukafiri na upotevu. Wenye kufanya hivi ni Mushabbihah, Mu´tazilah na watu mfano wao. Mwenye kupinga kuwepo juu kwa Allaah ni mpotevu na kafiri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
  • Imechapishwa: 09/08/2020