Ibn Baaz karuhusu mwanamke kupanda gari peke yake na dereva wa kiume?

Swali: Ni kweli kwamba Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah) alikuwa akiona kuwa mwanamke kupanda gari peke yake pamoja na dereva hakuzingatiwi ni faragha[1]?

Jibu: Si kweli. Aliyenakili haya amekosea. Kitendo hicho ni faragha.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-mwanamke-kupanda-gari-peke-yake-na-dereva-wa-kiume/

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/94/%D8%B1%D9%83%D9%88%D8%A8-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B1%D8%A3%D8%A9-%D9%88%D8%AD%D8%AF%D9%87%D8%A7-%D9%85%D8%B9-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D8%A7%D8%A6%D9%82-%D8%AE%D9%84%D9%88%D8%A9
  • Imechapishwa: 21/12/2019