´Ibaadah kwa mwanamke ambaye hakupata damu ya uzazi

Swali: Mke wangu amezaa mtoto na hakutokwa na damu. Je, katika masiku haya aswali au asubiri mpaka uishe muda wa nifasi?

Jibu: Hapana,  huyu hana nifasi. Ikiwa hakutokwa na damu ya uzazi sio mwenye nifasi. Hivyo afanye bidii kuswali na asiache.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
  • Imechapishwa: 26/06/2020