Swali: Tuseme nini kumwambia mtu anayesema kuwa Allaah yuko kila mahali? Tunapomwambia kuwa Allaah yuko mbinguni anasema kuwa sisi tunamfanya Allaah kuwa na mwili.

Jibu: Huyu ni Huluuliy. Hamtakasi Allaah na najisi na sehemu chafu? Yuko kila mahali? Hii ndio kufuru kubwa kabisa. Huluuliyyah (wanaoamini Allaah yuko katika kila kitu) ni makafiri. Wamkanushia Allaah kuwa Kwake juu ilihali amejithibitishia Mwenyewe kuwa Yuko juu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-28-1-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020