Hukumu ya mchezo wa draft (checkers)


Swali: Ni ipi hukumu ya mchezo wa draft?

Jibu: Ni haramu na ni mchezo wa waabudu moto. Draft ni mchezo wa waabudu moto. Haijuzu kuucheza hata kama watu hawakuchezea pesa. Wakichezea pesa inakuwa kamari.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (74) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-25-01-1439H-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2017