Hesabu kwa muislamu aliyemdhulumu kafiri siku ya Qiyaamah


Swali: Ni vipi itakuwa hesabu siku ya Qiyaamah ikiwa muislamu amemdhulumu kafiri?

Jibu: Kuna uwezekano akapewa haki yake siku ya Qiyaamah kabla ya kuingia Peponi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (20)
  • Imechapishwa: 17/07/2021