Swali: Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia siku nyingi au zaidi ya hivyo, kama mwezi. Ni ipi hukumu ya kitendo chake? Je, ni wajibu kwake kulipa?
Jibu: Ni wajibu kwake kutubia. Alipoacha kwa kukusudia hakuwa muislamu. Huku ni kuritadi. Kukusudia kuacha swalah ni kuritadi kutoka katika Uislamu. Lakini hata hivyo mlango wa tawbah umefunguliwa. Tubu kwa Allaah upya na uchunge swalah na Allaah anamsamehe yule mwenye kutubia.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Källa: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3
- Imechapishwa: 18/10/2017
Swali: Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia siku nyingi au zaidi ya hivyo, kama mwezi. Ni ipi hukumu ya kitendo chake? Je, ni wajibu kwake kulipa?
Jibu: Ni wajibu kwake kutubia. Alipoacha kwa kukusudia hakuwa muislamu. Huku ni kuritadi. Kukusudia kuacha swalah ni kuritadi kutoka katika Uislamu. Lakini hata hivyo mlango wa tawbah umefunguliwa. Tubu kwa Allaah upya na uchunge swalah na Allaah anamsamehe yule mwenye kutubia.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Källa: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3
Imechapishwa: 18/10/2017
https://firqatunnajia.com/haswali-kwa-masiku-mengi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)