Swali: Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia siku nyingi au zaidi ya hivyo, kama mwezi. Ni ipi hukumu ya kitendo chake? Je, ni wajibu kwake kulipa?

Jibu: Ni wajibu kwake kutubia. Alipoacha kwa kukusudia hakuwa muislamu. Huku ni kuritadi. Kukusudia kuacha swalah ni kuritadi kutoka katika Uislamu. Lakini hata hivyo mlango wa tawbah umefunguliwa. Tubu kwa Allaah upya na uchunge  swalah na Allaah anamsamehe yule mwenye kutubia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Källa: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017