Hapa ndipo maamuma anatakiwa kusema “Aamiyn”

Swali: Ni lini imewekwa katika Shari´ah maamuma kusema “Aamiyn”? Je, inakuwa pamoja imamu au inakuwa baada yake?

Jibu: Aseme “Aamiyn” baada ya sauti ya imamu kumalizika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 23/06/2018