Swali: Baadhi ya waislamu wanaposafiri kwenda India au Magharibi wanatembelea kaburi lililotangaa kama Taj Mahal na wanatemebelea makanisa katika miji ya makafiri na wanasema kwamba wanafanya hivo kwa minajili ya utalii. Je, inafaa kufanya hivo?

Jibu: Hapana, haijuzu midhali hawayakatazi mambo haya na hawabainishi uharibifu wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (93) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighstah%20-20-1-1440_0.mp3
  • Imechapishwa: 13/04/2019