Hali ya kuswali na kiti katika safu


Swali: Yule anayeswali kwenye kiti aweke miguu yake usawa na miguu ya wale wenye kuswali au mgongo wa kiti unatakiwa uwe usawa na migongo ya waswaliji?

Jibu: Hakuna makalifisho katika haya. Aswali vile anavyoweza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 17/09/2017