Hakutoa Zakaah Kwa Miaka Kumi Na Tano

Swali: Sikuitolea zakaah mali yangu kwa miaka kumi na tano. Nifanye nini ikiwa kama nimetubia na nataka kutoa zakaah?

Jibu: Toa zakaah juu ya miaka iliyopita. Hesabu ni pesa ngapi uzitoe. Dhimma yako haitakasiki isipokuwa kwa njia hii. Ni deni la Allaah juu yako. Hesabu ni pesa ngapi utoe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/03/2017